Jumanne, 21 Januari 2014

WANAFUNZI WAPYA DACICO WAANZA RASMI MAFUNZO, NI PAMOJA NA WA CERTIFICATE & DIPLOMA.

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College(DACICO), Wakiwa kwenye Studio za Radio ya Chuo hicho, wakati wa Mafunzo ya Vitendo(Practical) mapema Leo.

Jumatatu, 20 Januari 2014

DACICO YAJA KIVINGINE 2014- YAFANYA UTAMBULISHO KWA MBWEMBWE ZA HAFLA NA MICHEZO MBALIMBALI

Mmoja wa Wanafunzi wa Mlimani Profesional(Fredy) akicheza Pooltable wakati wa Fainali dhidi ya Timu ya Pooltable Dacico, katika Mchezo huo Mlimani Profesional iliibuka kidedea kwa seti moja kwa bila. 1-0.
Mkuu wa Chuo cha DACICO , Idrisa Mziray(kushoto) na Mmoja wa Walimu wa Chuo hicho Mwl. Kasilima wakifanya Utambulisho wa Viongozi wa DACICO.
Kikosi Kazi cha Timu ya DACICO Pooltable, mwakilishi Yohana Mathias, akiwakilisha timu yake wakati wa Mchezo na kikosi cha Timu ya Mliman Profesional, Mlimani iliibuka na ushindi wa 1-0
Walimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala Dar es Salaam City College, Mwl. Kasilima Kasilima na Mwl. Grayson Mgoi wakishindana kucheza na kuimba wakati wa Hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wapya wa Vyuo vya DACICO na Mlimani Profesional, iliyofanyika Makao makuu ya Chuo cha DACICO kibamba Chama jana na kushirikisha michezo mbali mbali ikiwamo Soka, Pooltable, kuimba, kucheza muziki, kuogelea, Urembo Mr. & Miss New Intake DACICO na mashindano ya kujibu Mada(Debate)(Picha kwa Hissan ya Miss Demokrasia Tanzania)
Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala Dar es Salaam City College, wakati wa wakati wa kutafuta washindi wa Urembo Miss & Mr. Dacico kwenye  Hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wapya wa Vyuo vya DACICO na Mlimani Profesional, iliyofanyika Makao makuu ya Chuo cha DACICO kibamba Chama jana na kushirikisha michezo mbali mbali ikiwamo Soka, Pooltable, kuimba, kucheza muziki, kuogelea, Urembo Mr. & Miss New Intake DACICO na mashindano ya kujibu Mada(Debate)(Picha kwa Hissan ya Miss Demokrasia Tanzania).
Wanafunzi Mashabiki wa DACICO wakifurahi baada ya Timu hiyo kupata bao la Ushindi wakati wa Mchezo wa Kirafiki dhidi ya Mlima Profesional.
Wachezaji wa Timu za Dacico, Haji Haji (kulia) na Musa
Mshiriki wa Shindano la Miss DACICO 2014
Mshindi wa Shindano la MR. DACICO 2014
Mshiriki wa shindano la Mr. DACICO 2014
Walimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala Dar es Salaam City College, Mwl. Kasilima Kasilima na Mwl. Grayson Mgoi wakishindana kucheza na kuimba wakati wa Hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wapya wa Vyuo vya DACICO na Mlimani Profesional, iliyofanyika Makao makuu ya Chuo cha DACICO kibamba Chama jana na kushirikisha michezo mbali mbali ikiwamo Soka, Pooltable, kuimba, kucheza muziki, kuogelea, Urembo Mr. & Miss New Intake DACICO na mashindano ya kujibu Mada(Debate)(Picha kwa Hissan ya Miss Demokrasia Tanzania).
Mmoja wa Wanafunzi wa DACICO, na mmoja wa Washiriki wa Shindano la Urimbwende(Modol DACICO 2014) Schola, akionyesha Mavazi wakati wa Hafla hiyo.
Mmoja wa Wanafunzi wa DACICO, na mmoja wa Washiriki wa Shindano la Urimbwende(Modol DACICO 2014) Mary, akionyesha Mavazi wakati wa Hafla hiyo.
Mmoja wa Wanafunzi wa DACICO, na mmoja wa Washiriki wa Shindano la Urimbwende(Modol DACICO 2014) Sharifa, akionyesha Mavazi wakati wa Hafla hiyo.
Mmoja wa Wanafunzi wa DACICO, na mmoja wa Washiriki wa Shindano la Urimbwende(Modol DACICO 2014) Ikumbo, akionyesha Mavazi wakati wa Hafla hiyo.
Wanafunzi wa DACICO, na  Washiriki wa Shindano la (Mr. DACICO 2014) Jeff & Razack, wakionyesha Mavazi wakati wa Hafla hiyo.
Wacheza Shoo(Dence) ambao walikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa, wakionyesha vitu vyao wakati wa hafla hiyo.
picha za juu ni Baadhi ya Mashabiki ambao walikuwa ni kati ya Wanafunzi wa DACICO & Mliman Profesional wakifuatilia kwa makini hafla hiyo.
Chipukizi wa Miondoko ya Miziki ya Kizazi Kipya, ambaye jina lake halikupatikana mara moja, akionyesha umahili wake wa kuimba katika hafla hiyo.