Ijumaa, 27 Septemba 2013

WANAFUNZI DACICO WAKABIDHI KATIBA KWA MKURUGENZI MKUU WA CHUO.

MKURUGENZI MKUU WA DACICO, IDRISA MZIRAY NA RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO, KISIZA LEONALD, WAKISHIRIKI KWA PAMOJA KUFANYA TENDO LA UZINDUZI WA KATIBA YA CHUO . KATIKA HAFLA ILIYOSHIRIKISHA WANAFUNZI WOTE WA CHUO KUTOKA MATAWI YA DAR ES SALAAM, SUMBAWANGA, NA MBEYA, WENGINE KATIKA PICHA NI  WAWAKILISHI WA WALIMU NA WANAFUNZI,

RAIS WA CHUO CHA DACICO LEONARD KISIZA (KUSHOTO) AKIIKABIDHI RASMI KATIBA YA CHUO KWA MKURUGENZI MKUU WA DACICO IDRISA MZIRAY MUDA MFUPI BAADA YA UZINDUZI.

(PICHA ZOTE KWA HISSANI YA MISS DEMOKRASIA TANZANIA & ENTERTAINMENT C.o LTD).

BAADA YA UZINDUZI WA KATIBA DACICO , WANAFUNZI WAPAGAWA NA KATIBA HIYO

BAADHI YA WANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA KWA MAKINI HAFLA YA UZINDUZI WA KATIIKA YA DAR ES SALAM CITY COLLEGE
BAADHI YA VIONGOZI WA CHUO NA WALIMU WA CHUO HICHO WAKIBARIKI KATIBA HIYO KWA WIMBO WA TAIFA.
MKURUGENZI MKUU WA DACICO TANZANIA, IDRISA MZIRAY(KATI), MAKAMU MKURUGENZI, VEDASTO MALIMA(KULIA) NA RAIS WA CHUO , KISIZA LEONALD, WAKATI WA KUIMBA WIMBO WA TAIFA KWA LENGO LA KUBARIKI KATIBA YA DACICO KUANZA KUTUMIA RASMI BAADA YA KUZINDULIWA NA WALIMU PAMIJA NA WANAFUNZI WOTE.

BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO WAKIFUATILIA UZINDUZI
WANAFUNZI WAKIIMBA WIMBO WA TAIFA KUZINDUA RASMI KATIBA YAO
WANAFUNZI WAKIIMBA WIMBO WA TAIFA KUZINDUA RASMI KATIBA YAO
WANAFUNZI WAKIIMBA WIMBO WA TAIFA KUZINDUA RASMI KATIBA YAO
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania  & Entertainment C.o LTD).

DACICO TANZANIA YAPATA KATIBA YAKE, WANAFUNZI WASHIRIKI KUFANYA UZINDUZI DAR ES SALAAM.

BAADHI YA WANAFUNZI WAKIFUATILIA KWA MAKINI UZINDUZI WA KATIBA  YAO NA MAELEZO KUHUSIANA NA HIYO KATIKA, AMBAYO WAMECHANGIA KWA ASILIMIA 80 KUWASILISHA MAONI YAO JUU YA MWONGOZO HUO MUHIMU KWA CHUO NA WANAFUNZI.
MKURUGENZI MKUU WA DACICO TANZANIA, IDRISA MZIRAY(kulia), AKIPOKEA NAKALA YA KATIBA HIYO KUTOKA KWA RAIS WA  CHUO CHA  DACICO,KISIZA LEONALD.
Rais wa Chuo cha DACICO,Kisiza Leornald na Makamu Mkurugenzi wa Chuo, Vedasto Malima, wakionyesha KATIBA hiyo kwa Wanafunzi
BAADHI YA WANAFUNZI WAKIFUATILIA KWA MAKINI UZINDUZI WA KATIBA  YAO NA MAELEZO KUHUSIANA NA HIYO KATIKA, AMBAYO WAMECHANGIA KWA ASILIMIA 80 KUWASILISHA MAONI YAO JUU YA MWONGOZO HUO MUHIMU KWA CHUO NA WANAFUNZI.
MKURUGENZI MKUU WA DACICO, (kati)WALIMU NA WANAFUNZI WA DACICO KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA MKURUGENZI KUIZINDUA RASMI .
Mwalimu Henry Gaudence(Mkufunzi) katika Chuo cha DACICO, akitoa ufafanuzi kuhusiana na KATIBA hiyo.
Mwalimu ,Greyson Mgoyi(Mkurugenzi wa Utawala na Mipango)akifafanua jambo wakati wa Uzinduzi huo