Ijumaa, 27 Septemba 2013

WANAFUNZI DACICO WAKABIDHI KATIBA KWA MKURUGENZI MKUU WA CHUO.

MKURUGENZI MKUU WA DACICO, IDRISA MZIRAY NA RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO, KISIZA LEONALD, WAKISHIRIKI KWA PAMOJA KUFANYA TENDO LA UZINDUZI WA KATIBA YA CHUO . KATIKA HAFLA ILIYOSHIRIKISHA WANAFUNZI WOTE WA CHUO KUTOKA MATAWI YA DAR ES SALAAM, SUMBAWANGA, NA MBEYA, WENGINE KATIKA PICHA NI  WAWAKILISHI WA WALIMU NA WANAFUNZI,

RAIS WA CHUO CHA DACICO LEONARD KISIZA (KUSHOTO) AKIIKABIDHI RASMI KATIBA YA CHUO KWA MKURUGENZI MKUU WA DACICO IDRISA MZIRAY MUDA MFUPI BAADA YA UZINDUZI.

(PICHA ZOTE KWA HISSANI YA MISS DEMOKRASIA TANZANIA & ENTERTAINMENT C.o LTD).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni