Kikundi cha Obrigado wanafunzi wa St. Joseph wakitumbuiza katika kongamano hilo.
Mmoja wa waumini wa Dhehebu la Kikiristo akitoa neno la Mungu.
Waumini wakipata Mkate kama ishara ya kumkumbuka bwana Yesu |
Baadhi ya Wanafunzi wa vyuo wakitumbuiza
Baadhi ya Wageni waalikwa wakiwa katika kongamano hilo.
Baadhi ya Wageni waalikwa wakiwa katika kongamano hilo.
Rais wa Serikali ya wanafunzi katika chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, DAR ES SALAAM CITY COLLEGE, Mathias Canall wa pili kushoto, akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Mlimani Profesional.(Picha Zote na Aurea Simtowe).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni