- Mabadiliko hayawezi kuwa mabadiliko kama watu hawakubali kubadilika: uchu,uroho wa madaraka unaweza kusababisha ukashindwa kuwatetea hata wale waliokusapoti hii ni kutokana na kutotambua wapi ni mwanzo na wapi ni mwisho...
MARTIN LUTHER KING aliwahi kusema kuwa sometimes we need to loose nothing to be honest ila usemi huu haumaanishi kwamba uruhusu akili ndogo kutawala akili kubwa Kama vile ambavyo Serengeti shall never die vivyo hivyo DACICO SHALL NEVER DIE.
Kuwa kiongozi ,haimanishi kupendwa. Bali inamanisha kufanya lililosahihi. Kunatofauti kubwa kufanya jambo zuri na jambo sahihi. Uongozi bora ni pale unapofanya yaliyosahihi hata Kama yanawaudhi wale unaowaongza ,badala ya kufanya mambo mazuri yanayowafurahisha.LEADESRSHIP IS NOT A POPULARITY CONTEST.
Kumbuka kuwa Kila kiongozi mkubwa au maarufu (mwenye maono au fikra zenye busara) mwanzoni alichekwa au kudhihakiwa. Lakini sasa anaheshimika.
Haijarishi WATU wengine wanafikiri nini juu yako. Kinachojalisha ni vile unavyofiri juu yako. Mara nyingi tunapoteza nguvu kuhusu mitazamo ya wengine tunatamani kukubalika na kupendwa, tunataka tufurahishe, uongozi uliotukuka ni pale unapokuwa uko juu zaidi ya mitazamo ya umma juu yako,yaani above social approval to self approval .kwa nini ujali vile Kila mtu anafikiri juu yako. Run your own race,your dream, Kumbuka success is not a popularity contest. Mwisho wa siku ni kuwa JE umekuwa mkweli juu yako mwenyewe?
One of my best quote come from George Bernard Shaw , "The reasonable man adapts himself to the world,the unreasonable one persists in trying to adapt the world to himself " therefore all progress depends on the unreasonable man. Please think about that idea for a moment. I suggest it's a big one. ....have a great day
Sayed mathias canal HAKIKA NATOA PONGEZI ZA DHATI KWA UONGOZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE KWA KUENDELEA KUWA CHUO BORA CHENYE MWANGAZA BORA WA ELIMU TANZANIA HUSUSANI KATIKA MAMBO YA HABARI NA UONGOZI YAANI UATAWALA, SHUKRANI ZA DHATI ZIENDE KWA MMILIKI WA CHUO HIKI MR MZIRAI HAKIKA ANAJITAHIDI KUFANYA MAMBO MAZURI JAPO KUNA CHANGAMOTO AMA MAZINGIRA MAGUMU YANAYOMZUNGUKA
PILI NIWASHUKURU WANAFUNZI AMBAO WANAJIANDAA NA MITIHANI YA KUMALIZA MUHULA LAKINI PIA KUMALIZA CHUO KWA UJUMLA...KWA MASIKITIKO MAKUBWA NATOA POLE KWA WANAFUNZI WALIOIAMINI DACICOSTUA LAKINI LEO HII IMESHINDWA KUWATETEA NI KIPINDI KIFUPI SANA MTAKUWA KATIKA HATMA NZURI YA SERIKALI ILIYOTUKUKA,,.........NAWATAKIA MASOMO MEMA NA KWA WALE WANAOJIANDAA NA MITIHANI KILA LA KHERI
- ndugu zangu wana DACICO ,nilijiaminisha kuwa sisi ni ndugu hata zaidi ya ndugu wa damu, nikiwa kama mmoja wa wanafamilia wa DAR ES SALAAM CITY COLLEGE habari hizi zimenishtua na kunihuzunisha sana kwa kuwa tuliamini kila tulichokiacha tukiwa kama viongozi wa awamu iliyopita kitazidi kuenziwa na kutunwa kwa manufaa ya wanadacico ,tulijipa moyo kuwa yote tuliyoyafanyia kazi yataendelezwa hata wakati tutakapokuwa mbali.
Nikiwa kama mwanafamilia wa DACICO na mtu mwenye nia njema na DACICO sikuwahi kuwaza au kufikiria kama siku moja sisi kama wanafunzi tutakuja kufikia hatua ya kufarakana na kutengana hadi kufikia hatua ya kupingana wenyewe kwa wenyewe,.
ninachokiamini ni kwamba wana DACICO tunahitaji maendeleo katika chuo na zaidi ya yote tunahitaji elimu iliyo bora na yenye kukidhi mahitaji ya soko la ajira hapa nchini na nje ya nchi pia.
daima tumekuwa tukifanya maamuzi yaliyo sahihi katika kutafuta maendeleo ya chuo chetu, siwezi kuwapinga wanachuo wenzangu kwa hatua mliyoichukua ya kumuengua rais wa serikali ya wanafunzi, ila ninachowaomba tukae chini tufikirie kama watu wenye elimu na wenye hekima na wenye mapenzi mema na chuo., ndugu zangu demokrasia ya kweli inahitaji nguvu, uvumilivu, ukweli na zaidi ya yote uchapaji wa kazi pasipo kuyakimbia majukumu uliyopewa na watu wako.
Sina mengi ya kuwaambia ndugu zangu ila ninachowasihi. TUWE NA UMOJA KATIKA KUJENGA CHUO NA KUPATA ELIMU ILIYO BORA, NA TUSIWE CHANZO CHA KUKIVURUGA CHUO AU KUPOTEZA AMANI YA CHUO. Naishia hapa kwa leo ila nitoe rai kwa wote ELIMU INAPASWA KUFURAHIWA NA SIYO KUWA KAMA NYAKATI ZA WAKOLONI, TUISHI KWA AMANI PASIPO MIKWARUZO NA MALUMBANO.
Wapeni salamu zao wote,, Mwanaharakati wa kweli
DISE PETER( Deogratuius A.Peter)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni