CHUO KINAFUNDISHA KOZI MBALIMBALI ZA TAALUMA YA UHANDISHI WA HABARI. WOTE MNAKARIBISHWA SANA KUJIUNGA.SUMBAWANGA, MBEYA NA DAR ES SALAAM,
Jumatatu, 4 Agosti 2014
WANAFUNZI WA INTAKE JANUARY, APRIL, NA SEPTEMBER- DACICO WAANZA MITIHANI
Kati ya wanafunzi hawa wengine wanamaliza masomo yao lakini pia wengine wanafanya mitihani ya kufunga muhula wa kwanza, mitihani hii ni kwa ajili ya wanafunzi wa Vyuo vyote vya DACICO TANZANIA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni