![]() |
Wanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College, wakipunga Upepo katika moja ya majengo ya chuo hicho. www.daressalaamcitycollege |
![]() |
Wanafunzi
wa Chuo cha Dar es Salaam City College, wakiwa katika moja ya Chumba
cha kufundishia(Studio namba 3) jijini Dar es Salaam. www.daressalaamcitycollege |
![]() |
Wanafunzi wa chuo cha Dar es Salaam City College, wakishusha Ngazi muda mfupi baada ya kumuulizia Mkurugenzi Mkuu Maswali, wakati alipotembelea Moja ya Majengo ya chuo hicho kwa Ukaguzi. |
Wanafunzi
wa Chuo cha Dar es Salaam City College, wakifurahi kwa kucheza Kwaito,
wakati wa Bush ya Chuo hicho. jijini Dar es Salam
![]() |
Wanafunzi
wa chuo cha Dar es Salaam City College, muda mfupi baada ya kumuulizia
Mkurugenzi Mkuu Maswali, wakati alipotembelea Moja ya Majengo kwa
Ukaguzi. www.daressalaamcitycollege |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni