Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA- Wakifuatilia kwa Makini Semina ya Kufungua Akaunti ya CRDB Bank, iliyotolewa makao Makuu ya Chuo Kibamba CCM. Jiijini DAR ES SALAAM. |
Mmoja wa Wanafunzi wa DACICO TANZANIA- akiuliza moja ya Maswali kuhusiana na Benki ya CRDB. |
Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Emmanuel Simbengale, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa mwanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA, |
Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Mussa Mvungi, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa Wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA, |
Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Sara Luje, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA, |
Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Sara Luje, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA, |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni