Ijumaa, 4 Oktoba 2013

DACICO FM RADIO- TANZANIA- Kuvuma sasa Hewani, Mkurugenzi Mkuu wa DACICO TANZANIA- Idrisa Mziray, asema kuanza kurusha Matangazo katika jiji la Dar es Salaam na Pwani.

Mkurugenzi Mkuu wa DACICO TANZANIA- Idrisa Mziray, akiwa kwenye moja ya Ofisi zake jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa DACICO TANZANIA- Idrisa Mziray, akiwa kwenye Studio ya Matangazo ya Radio ya Chuo ambayo inatarajia kuanza kusikika kwenye maeneo ya  jijini Dar es Salaam.  (Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni