Hii ndiyo Bendera ya Dar es Salaam City College DACICO TANZANIA. |
Mkurugenzi Mkuu wa DACICO, Idrisa Mziray, Baada ya kukabidhi majukumu ya Bendera ya Chuo na ya Tanzania, ambazo zimepandishwa Rasmi Makao Makuu ya DACICO jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa Wafanyakazi wa DACICO-TANZANIA. Mpalule Shaaban, akipandisha Bendera ya Chuo Rasmi.
Bendera ya DACICO ikiwa imepandishwa Tayari.
Mkurugenzi Mkuu wa DACICO-TANZANIA, Bwana, Idrisa Mziray, muda mfupi baada ya Bendera ya DACICO Kupandishwa.
Majengo ya Chuo yakiwa katika Mwonekano wa Pekee baada ya Kupandishwa Bendera ya Chuo.(Picha Zote kwa Hissan ya Miss Demokrasia Tanzania).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni