Jumamosi, 2 Novemba 2013

WANAFUNZI DACICO WAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI(DACICOSTUA)

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College(DACICO), Wakipigab kura wakati wa kuwachagua Viongozi wa Serikali yao, Picha ya Chini hapa wakisubiri kutangazwa Matokeo baada ya zoezi la Upigaji kura.(Picha Zote na  Deograius Deo).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni