Ndugumkuuwachuo, Ndugumkurugenzimtendaji, Nduguwajumbewabodi,
Nduguwakufunzi, Nduguviongoziwaserikali, Nduguviongoziwavyama,
Nduguwaalikwa
,mabibinamabwana.Awaliyayotenitangulizeshukranizanguzadhatikwakunialikakuwamgenirasmikatikahaflahiiadhimuyamahafaliya
13 yawahitimuwachuohiki.Aidhanitumiefursahiikuupongezauongoziwachuo ,siotukwakuwamiongonimwawawekezajiwazawawenyemafanikiokatikasektayaelimu,balikwamchangomkubwaambaochuohikikinatoakatikakukuzataalumayauandishiwahabarinataalumanyinginezonchini. Hakikamafanikiohayanimajibunatafsiriyavitendoyajuhudizaserikalina sera zachama cha mapinduziyakukuzaelimunakutoafursakwawawekezajiwazawakatika Nyanja mbalimbali.
Ndugu, mkuuwachuoniwapongezenizaidikwakuwamatundayachuochenuyamekuwanamanufaamakubwakwataifanajamiikwaujumla, ambapommewezakutoaajirakwazaidiyawatanzania 50 ambaowameajiriwakatikachuohiki, lakinipiakwaniabayaserikalichiniyauongozimadhubutiwaMheshimiwa,Dr. JakayaMrishoKikweteniwapongezekwajinsiambavyommewezakulichangiataifakwakutoawataalamuwataalumambalimbaliikiwemoyauandishiwahabari, Utawaawabiashara, Ugavi, Utunzajiwakumbukumbu, Maendeleoyajamiinanyinginezoambapompakasasajumlayawahitimuzaidiya 2000 wameshahitimumkiwemoninyimnaohitimuleo.
NitoepongezizapekeekwaninyiwoteambaoleohiimnahitimukatikangazimbalimbalizaAstashahadanastashahada. Ni matumainiyangunayaserikalikuwamtakwendakutumiaaelimunaujuzimlioupatakwamanufaayaTaifa,Jamiinafamiliazenu.
Kama serikalinaTaifa,tunamatumainimakubwananyi, kwambamtakuwasehemumuhimuyajuhudizaserikalizakukabiliananachangamotoyaupungufuwawataalamwasektambalimbali,ikiwemoyauandishiwahabari.
Ndugu,wahitimu ,viongozimabibinamabwana, taalumayauandishiwahabariinakabiliwanachangamotokubwayakuvamiwanawatuambaohawanataalumahiyo,jamboambalolimesababishawakatimwinginekuandikahabaribilayakuzingatiamaadilinakanunizataalumahiyo,hivyokuilazimishaserikalikuchukuahatuambalimbalikwawahusikaikiwemokuvifungiavyombovyahabarihusika.
Naombaielewekekuwa,nidhamirayaserikalikuonakwambasektayahabariinakuwanawatuwenyeweledinamaadilimakubwakwataalumahiyonaTaifakwaujumla. Ndiyomaana ,serikaliimetoafursakwavyuobinafsikuwepoilikusaidiakuzalishawataalamhivyokupunguzanakuondoakabisatatizo la uhabawawanataalumanamakanjanjakatikatasniayahabarinchini. Nimefarijikasana, kusikiakuwachuohikikimewezakutoawahitimuambaohivisasawameajiriwakatikavyombombalimbalivyakitaifanakimataifa ,likiwemoshirika la Utangazaji la Taifa TBC, shirikabinafsi la Utangazaji la kimataifa la Eljazeera, shirika la utagazaji la nchiyaUingereza BBC naasasimbalimbalizabinafsinazaumma.
Kwaniabayaserikali,kwakushirikiananamamlakanyinginezaummanabinafsininaahidikusaidiakulipatiaufumbuzichangamotoyaurasimukatikaupatikanajiwamafunzokwavitendonaajirakwaujumla. Lakinipianatambuachangamotoyawanafunziwavyuovyakatikamahikikutopatiwamikopoyamasomonaserikali, naaminikuwawakatisasaumefikakwamamlakahusikanamikopokuangaliauwezekanowakupanuawigowautoajiwamikopo.
Juuyaupatikanajiwamaeneoyaviwanjavyamichezo, niziombemamlakazaserikalinamanispaayawilayayakinondoni,ziwezekusaidianakuangaliauwezekanowakupatikanakwamaeneoyaviwanjavyamichezo. Kwachuoambacho kina wanafunzizaidiya 500, kamahiki, nidhahirikuwavipajivyamichezonautamaunihavikosekani,hivyokutoauwezekanomkubwawakupatavijanaambaowanawezakuwakilishaTaifakatikamichezombalimbali,lakinipiamichezoniafya,Michezoniajira.
Aidhaningependakuwasihivijanamnaohitimusikuyaleonavijanawenginewotekwaujumlakuhakikishamnatimizawajibuwenuwamsingiambaonikufanyakazikwabidiinakuwawabunifujuuyasualazima la ajirakwanikilamwakaidadiyawahitimuhapanchininikubwasanaukilinganishanafursazakuajiriwazilizopo. Serikaliinaahidikuendeleakuajiriwahitimuwengizaidikatika Nyanja mbalimbalihukuikiendeleakulipatiaufumbuzisuala la upungufuwanafasizaajirailinafasihizoziendanenaidadiyawahitimunaWatanzaniawenyesifazaufanyajiwakazihusika.
Naombanimalizie ,kwakuwaasawanavyuo ,kudumishamaadilinatamadunizaTaifaletu, kwaniuwepowenukatikavyuounawafanyakuwakioo cha jamiihivyomnapaswakufuatatabia, maadilinamienendomyemakatikamaishayenuyakilasiku. KwakudumishamaadilimtakuwammetoamchangomkubwakwaTaifakwenyemapambanodhidiyamaradhimbalimbaliyakuambukiza.
Kwamaranyinginetenaniwapongezenakuwatakiamafanikiomemauongoziwachuo,nawahitimuwotekwakufanikiwakufikakatikasikuhiimuhimuhukupianikiwaasa wale wanaobakikufungamikandailimuwezekufikiamalengoyenu,yafamiliazenunayaTaifakwaUjumla.
Asanteni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni