Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Mr. Idrisa Mziray(kushoto) na Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia, Muda Mfupi baada ya Kuwasili kwenye Hafla hiyo.(Picha Zote Kwa Hissani ya Kampuni ya Miss Demokrasia Tanzania & Entertainment C.o Ltd)
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Mr. Idrisa
Mziray(kushoto) akikabidhi Cheti Diploma ya Uandishi wa Habari, Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia.(Picha Zote Kwa Hissani ya Kampuni ya Miss Demokrasia Tanzania & Entertainment C.o Ltd)
Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia(kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Chuo Bw. Vedasto Malima)
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Mr. Idrisa Mziray, akifafanua jambo
Katibu Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi, Rozina Mchomvu, akisoma lisala kwa Mgeni Rasmi
Baadhi ya Walimu wakiwa kwenye Mahafali hayo
Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia, akisoma Hotuba kwa wageni na wahitimu Muda Mfupi baada ya Kuwasili kwenye Hafla hiyo
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mtaa wa Kibamba, Jirani na Makao Makuu ya Chuo Wakifuatilia kwa Makini yote yaliyokuwa yakitendeka wakati ha sherehe hizo.(Kushoto ni Ayubu Semvua).
MAHAFALI YA DACICO TANZANIA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni