Ijumaa, 4 Oktoba 2013

DACICO FM -RADIO- KUZINDULIWA NA WANAFUNZI MATAWI YA MBEYA, SUMBAWANGA NA DAR ES SALAAM.

 Mkurugenzi Mkuu wa DACICO TANZANIA- Idrisa Mziray, akiwa kwenye Studio ya Matangazo ya Radio ya Chuo ambayo inatarajia kuanza kusikika kwenye maeneo ya  jijini Dar es Salaam.                      
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha DACICO, Wakiwa katika STUDIO ZA DACICO FM.Kulia ni Rais wa Chuo cha DACICO, Kisiza Leonald
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha DACICO, Wakiwa katika STUDIO ZA DACICO FM
 
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha DACICO, Wakiwa katika STUDIO ZA DACICO FM

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni