Ijumaa, 4 Oktoba 2013

DACICO TANZANIA- YAWAPA WANAFUNZI AKAUNTI CRDB BANK.

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA- Wakifuatilia kwa Makini Semina ya Kufungua Akaunti ya CRDB Bank, iliyotolewa makao Makuu ya Chuo Kibamba CCM. Jiijini DAR ES SALAAM.
Mmoja wa Wanafunzi wa DACICO TANZANIA- akiuliza moja ya Maswali kuhusiana na Benki ya CRDB.
Meneja Mauzo wa Benki ya CRDB, Rosemarry Nchimbi, (kati)akifafanua Jambo kuhusiana na Huduma za Kibenki za Benki hiyo kwa Wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA, Katika Mafunzo ya Semina ya Siku Moja iliyotelewa na Maafisa wa Benki ya CRDB, Makao Makuu ya Chuo-Kibamba CCM-Jijini Dar es Salaam.

Meneja Mauzo wa Benki ya CRDB, Rosemarry Nchimbi, akifafanua Jambo kuhusiana na Huduma za Kibenki za Benki hiyo kwa Mwalimu Michael Jackison wa Chuo cha DACICO TANZANIA, Katika Mafunzo ya Semina ya Siku Moja iliyotelewa na Maafisa wa Benki ya CRDB, Makao Makuu ya Chuo-Kibamba CCM-Jijini Dar es Salaam.
Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Emmanuel Simbengale, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa mwanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA,
Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Mussa Mvungi, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa Wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA,
Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Sara Luje, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA,
Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Sara Luje, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA,
Meneja Mauzo wa Benki ya CRDB, Rosemarry Nchimbi, akifafanua Jambo kuhusiana na Huduma za Kibenki za Benki hiyo kwa wanafunzi wa  Chuo cha DACICO TANZANIA, Katika Mafunzo ya Semina ya Siku Moja iliyotelewa na Maafisa wa Benki ya CRDB, Makao Makuu ya Chuo-Kibamba CCM-Jijini Dar es Salaam.          (Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni