Jumanne, 15 Julai 2014

MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE . JUMAMOSI TAREHE 5, JULAI 2014 – KIBAMBA CCM DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Mr. Idrisa Mziray(kushoto) na Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia, Muda Mfupi baada ya Kuwasili kwenye Hafla hiyo.(Picha Zote Kwa Hissani ya Kampuni ya Miss Demokrasia Tanzania & Entertainment C.o Ltd)
 Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Mr. Idrisa Mziray(kushoto) akikabidhi Cheti Diploma ya Uandishi wa Habari, Mgeni Rasmi,  Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia.
(Picha Zote Kwa Hissani ya Kampuni ya Miss Demokrasia Tanzania & Entertainment C.o Ltd)
 Mgeni Rasmi,  Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia(kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Chuo Bw. Vedasto Malima)
  Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Mr. Idrisa Mziray, akifafanua jambo
 Katibu Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi, Rozina Mchomvu, akisoma lisala kwa Mgeni Rasmi
 Baadhi ya Walimu wakiwa kwenye Mahafali hayo
 Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia, akisoma Hotuba kwa wageni na wahitimu Muda Mfupi baada ya Kuwasili kwenye Hafla hiyo
 Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mtaa wa Kibamba, Jirani na Makao Makuu ya Chuo Wakifuatilia kwa Makini yote yaliyokuwa yakitendeka wakati ha sherehe hizo.(Kushoto ni Ayubu Semvua).

MAHAFALI YA DACICO TANZANIA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni