Baadhi ya Wahitimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College (DACICO TANZANIA) katika Mahafali ya 13 yaliyofanyika Makao Makuu ya Vyuo Hivyo Kibamba JIJINI Dar es Salaam. (Picha Zote Kwa Hissani ya MISS DEMOKRASIA TANZANIA & ENTERTAINMENT C.O LTD)
CHUO KINAFUNDISHA KOZI MBALIMBALI ZA TAALUMA YA UHANDISHI WA HABARI. WOTE MNAKARIBISHWA SANA KUJIUNGA.SUMBAWANGA, MBEYA NA DAR ES SALAAM,
Jumanne, 15 Julai 2014
HOTUBA YA MGENI RASMI NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA,MICHEZO NA UTAMADUNI MHESHIMIWA JUMA SOLOMON NKAMIA KATIKA MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE . JUMAMOSI TAREHE 5, JULAI 2014 – KIBAMBA CCM DAR ES SALAAM
Ndugumkuuwachuo, Ndugumkurugenzimtendaji, Nduguwajumbewabodi,
Nduguwakufunzi, Nduguviongoziwaserikali, Nduguviongoziwavyama,
Nduguwaalikwa
,mabibinamabwana.Awaliyayotenitangulizeshukranizanguzadhatikwakunialikakuwamgenirasmikatikahaflahiiadhimuyamahafaliya
13 yawahitimuwachuohiki.Aidhanitumiefursahiikuupongezauongoziwachuo ,siotukwakuwamiongonimwawawekezajiwazawawenyemafanikiokatikasektayaelimu,balikwamchangomkubwaambaochuohikikinatoakatikakukuzataalumayauandishiwahabarinataalumanyinginezonchini. Hakikamafanikiohayanimajibunatafsiriyavitendoyajuhudizaserikalina sera zachama cha mapinduziyakukuzaelimunakutoafursakwawawekezajiwazawakatika Nyanja mbalimbali.
Ndugu, mkuuwachuoniwapongezenizaidikwakuwamatundayachuochenuyamekuwanamanufaamakubwakwataifanajamiikwaujumla, ambapommewezakutoaajirakwazaidiyawatanzania 50 ambaowameajiriwakatikachuohiki, lakinipiakwaniabayaserikalichiniyauongozimadhubutiwaMheshimiwa,Dr. JakayaMrishoKikweteniwapongezekwajinsiambavyommewezakulichangiataifakwakutoawataalamuwataalumambalimbaliikiwemoyauandishiwahabari, Utawaawabiashara, Ugavi, Utunzajiwakumbukumbu, Maendeleoyajamiinanyinginezoambapompakasasajumlayawahitimuzaidiya 2000 wameshahitimumkiwemoninyimnaohitimuleo.
NitoepongezizapekeekwaninyiwoteambaoleohiimnahitimukatikangazimbalimbalizaAstashahadanastashahada. Ni matumainiyangunayaserikalikuwamtakwendakutumiaaelimunaujuzimlioupatakwamanufaayaTaifa,Jamiinafamiliazenu.
Kama serikalinaTaifa,tunamatumainimakubwananyi, kwambamtakuwasehemumuhimuyajuhudizaserikalizakukabiliananachangamotoyaupungufuwawataalamwasektambalimbali,ikiwemoyauandishiwahabari.
Ndugu,wahitimu ,viongozimabibinamabwana, taalumayauandishiwahabariinakabiliwanachangamotokubwayakuvamiwanawatuambaohawanataalumahiyo,jamboambalolimesababishawakatimwinginekuandikahabaribilayakuzingatiamaadilinakanunizataalumahiyo,hivyokuilazimishaserikalikuchukuahatuambalimbalikwawahusikaikiwemokuvifungiavyombovyahabarihusika.
Naombaielewekekuwa,nidhamirayaserikalikuonakwambasektayahabariinakuwanawatuwenyeweledinamaadilimakubwakwataalumahiyonaTaifakwaujumla. Ndiyomaana ,serikaliimetoafursakwavyuobinafsikuwepoilikusaidiakuzalishawataalamhivyokupunguzanakuondoakabisatatizo la uhabawawanataalumanamakanjanjakatikatasniayahabarinchini. Nimefarijikasana, kusikiakuwachuohikikimewezakutoawahitimuambaohivisasawameajiriwakatikavyombombalimbalivyakitaifanakimataifa ,likiwemoshirika la Utangazaji la Taifa TBC, shirikabinafsi la Utangazaji la kimataifa la Eljazeera, shirika la utagazaji la nchiyaUingereza BBC naasasimbalimbalizabinafsinazaumma.
Kwaniabayaserikali,kwakushirikiananamamlakanyinginezaummanabinafsininaahidikusaidiakulipatiaufumbuzichangamotoyaurasimukatikaupatikanajiwamafunzokwavitendonaajirakwaujumla. Lakinipianatambuachangamotoyawanafunziwavyuovyakatikamahikikutopatiwamikopoyamasomonaserikali, naaminikuwawakatisasaumefikakwamamlakahusikanamikopokuangaliauwezekanowakupanuawigowautoajiwamikopo.
Juuyaupatikanajiwamaeneoyaviwanjavyamichezo, niziombemamlakazaserikalinamanispaayawilayayakinondoni,ziwezekusaidianakuangaliauwezekanowakupatikanakwamaeneoyaviwanjavyamichezo. Kwachuoambacho kina wanafunzizaidiya 500, kamahiki, nidhahirikuwavipajivyamichezonautamaunihavikosekani,hivyokutoauwezekanomkubwawakupatavijanaambaowanawezakuwakilishaTaifakatikamichezombalimbali,lakinipiamichezoniafya,Michezoniajira.
Aidhaningependakuwasihivijanamnaohitimusikuyaleonavijanawenginewotekwaujumlakuhakikishamnatimizawajibuwenuwamsingiambaonikufanyakazikwabidiinakuwawabunifujuuyasualazima la ajirakwanikilamwakaidadiyawahitimuhapanchininikubwasanaukilinganishanafursazakuajiriwazilizopo. Serikaliinaahidikuendeleakuajiriwahitimuwengizaidikatika Nyanja mbalimbalihukuikiendeleakulipatiaufumbuzisuala la upungufuwanafasizaajirailinafasihizoziendanenaidadiyawahitimunaWatanzaniawenyesifazaufanyajiwakazihusika.
Naombanimalizie ,kwakuwaasawanavyuo ,kudumishamaadilinatamadunizaTaifaletu, kwaniuwepowenukatikavyuounawafanyakuwakioo cha jamiihivyomnapaswakufuatatabia, maadilinamienendomyemakatikamaishayenuyakilasiku. KwakudumishamaadilimtakuwammetoamchangomkubwakwaTaifakwenyemapambanodhidiyamaradhimbalimbaliyakuambukiza.
Kwamaranyinginetenaniwapongezenakuwatakiamafanikiomemauongoziwachuo,nawahitimuwotekwakufanikiwakufikakatikasikuhiimuhimuhukupianikiwaasa wale wanaobakikufungamikandailimuwezekufikiamalengoyenu,yafamiliazenunayaTaifakwaUjumla.
Asanteni.
MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTAWALA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE . JUMAMOSI TAREHE 5, JULAI 2014 – KIBAMBA CCM DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Mr. Idrisa Mziray(kushoto) na Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia, Muda Mfupi baada ya Kuwasili kwenye Hafla hiyo.(Picha Zote Kwa Hissani ya Kampuni ya Miss Demokrasia Tanzania & Entertainment C.o Ltd)
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Mr. Idrisa
Mziray(kushoto) akikabidhi Cheti Diploma ya Uandishi wa Habari, Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia.(Picha Zote Kwa Hissani ya Kampuni ya Miss Demokrasia Tanzania & Entertainment C.o Ltd)
Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia(kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Chuo Bw. Vedasto Malima)
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Mr. Idrisa Mziray, akifafanua jambo
Katibu Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi, Rozina Mchomvu, akisoma lisala kwa Mgeni Rasmi
Baadhi ya Walimu wakiwa kwenye Mahafali hayo
Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari Mh. Juma Nkamia, akisoma Hotuba kwa wageni na wahitimu Muda Mfupi baada ya Kuwasili kwenye Hafla hiyo
Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mtaa wa Kibamba, Jirani na Makao Makuu ya Chuo Wakifuatilia kwa Makini yote yaliyokuwa yakitendeka wakati ha sherehe hizo.(Kushoto ni Ayubu Semvua).
![]() |
| MAHAFALI YA DACICO TANZANIA |
Jumapili, 29 Juni 2014
SHEREHE ZA MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA DACICO NI JUMAMOSI YA TAREHE 5/7/2014
Dar es Salaam City College - dacico Tanzania
Na: Happiness Mayebele (DACICO-DAR ES SALAAM)
Chuo
cha uandishi wa habari na Utawala. dar es salaam city College, siku ya
jumamosi tarehe 5 ya mwezi wa saba mwaka huu wa 2014, kinatarajia
kufanya Mahafali ya 13 ya Wahitimu katika Vyuo vya Mbeya, Dar es Salaam
na Sumbawanga, Jumla ya Wahitimu 282
wanatazamia kuwa miongoni mwa wanafunzi watakaokuwa wanamaliza katika
vyuo hivi bora kutoka hapa TANZANIA.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti Mtendaji wa Dar es Salaam City College, Bwana Idrisa Mziray, Mgeni Rasmi katika Mahafali
hayo ni Naibu Waziri wa Michezo na Habari, Juma Nkamia,ambaye atawatunuku wahitimu vyeti pamoja na kutoa Risala kwa wahitimu ambao wengi wao wanalenga kuwa waajiriwa muda mfupi baada ya kuwa wamemaliza masomon yao kwenye vyuo hivi vya DACICO.
Aidha kwa Upande wake mkurugenzi wa Chuo kwa Upande wa Dar es Salaam, Mr. Vedasto Malima, Mahafali
hayo yamepangwa kufanyika kwenye Viwanja vya Chuo cha Dar es Salaam City
College(DACICO TANZANIA) ambapo ni makao makuu ya Vyuo vya DACICO TANZANIA yaliyopo jijini Dar es Salaam na yanatazamia kuanza majira
ya saa nne asubuhi.
Jumapili, 4 Mei 2014
Timu ya Dar es salaam city college (Dacico F.c) yaichakaza Timu ya Mlimani Professional school of studies.
Na Happynes Mayebele – Dar es salaam.
Timu ya Soka ya Chuo cha Uandishi wa Habari wa habari na Utawala, Dar es Salaam City College(DACICO TANZANIA), Juzi imefanikiwa kuichakaza timu ya soka ya Chuo cha Mlimani professional school of studis (mlimani fc) katika Mechi ya kirafiki iliyochezwa katika uwanja wa Bwaroni jirani na shule ya sekondari ya brilliant Mbezi kwa Msuguri jijinin Dar es Salaam.
Katika Mchezo huo ambao ulikuwa wa marudiano baina ya timu hizo mbili ,mchezo ulianza saa 10:40 kwa saa za afrika Mashariki kutokana na Hali ya Hewa kuwa na mvua, ilisababisha mchezo kuwa wa patashika kutokana na timu ya Dacico kushinda katika uwana wake wa nyumbani ambapo timu ya Dacico iliibuka na ushindi wa kishindo pia wa 1-0 dhidi ya Mlimani Professional School of Studies kwa bao 1-0 kwenye mchezo huo uliokuwa wa Marudio. .
Washindi walijipatia bao katika kipindi cha pili dakika ya 82 ambapo mchezaji , Japhet George wa Dacico f.c, akitokea benchi baada ya kuingia kipindi cha pili alifanikiwa kufunga kwa penalty kufuatia mlinda mlango wa timu ya Mlimani F.c kumchezea madhambi mshambuliaji nyota wa Dacico(Super Sub), Ramadhani Dulla, wakati akielekea kufunga.
Akizungumzia mpambano huo, kocha wa Timu ya Dacico f.c Bwana, Chambuya Maurice "sisi huku tumefuata ushindi pamoja na vikwazo vya uwanja kuwa mbovu na wachezaji kukosa nafasi ya ushindi katika kipindi cha kwanza lakini bado tumekuwa vinara kwa kuubeba ushindi kwa kishindo’’ alisema Chambuya
Hata hivyo, mmoja wa wachezaji kutoka timu ya Mlimani professional studis Bw. Elly Omary alisema “mechi ilikuwa nzuri japo tumekubali kufungwa lakini hawakutuzidi kimchezo maana hata gori hilo moja wamepewa na mwamuzi, wangekuwa wametufunga hata mabao mawili hapo ndiyo tungesema wametuzidi kimchezo pia katika mchezo uwanjani kufungwa au kufunga ni jambo la kawaida lakini endapo tutapatav mchezo mwingine na Dacico hakika tutashinda maana tutajiandaa kwani tumegundua pia kuwa Dacico inao wachezaji wakali" alisema Elly.
Aidha, kocha wa Timu ya Mlimani professional school of studies(mlimani FC) Bw Fredrik Emmanuel alisema "nawashukuru sana wachezaji wote pande mbili kwa kuonesha bidii katika mchezo huu kwani mchezo ulikuwa mzuri na wachezaji wote wamecheza vizuri kwa kuonesha kila timu umahili wake pamoja na uwanja kuwa na matope yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyotangulia kunyesha, lakini wamejitahidi kwa kuonesha kile wanachojifunza” alisema Fredrik. Pia kuhusu kufungwa kwa timu yake alisema”kufungwa ni changamoto ya kuongeza bidii hivyo kipindi kijacho tutajitahidi kwa kuubeba ushindi”.alisema Fredrik.
Sambamba na hayo, mchezo huo ulifikia tamati kwa dacico fc kuibuka na ushindi huo wa bao 1-0. Kwa Upande wa Timu ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala Dacico kikosi kilikuwa kama ifuatavyo:- Gifti Habibu, Alexandre Ngelezi, Raphael Magitta, abudallah dulla, razack mushi,Baraka,frank.
Na katika kikosi cha mlimani fc ni pamoja na Braiy,Frank,paschal,alpha ,Baraka, afidhi, kefhan, flaivn,jumanne, haruna, mrisho,Fredrik Emmanuel pamoja na morgan britorn.
Mwisho
DACICO F.C YAIGARAGAZA MLIMANI PROFESIONAL
Na: Recho George/Edger Kaizer, Mbezi kwa Msuguri Dar es Salaam..
Timu ya Mpira wa Miguu ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Dar es
Salaam City College,(DACICOFC),hatimaye
imefanikiwa kuifunga Timu ya Mlimani Profesional F.c kwa 1-0
katika mchezo wa kirafiki uliofanyika majira ya jioni katika uwanja wa
Bwaloni uliopo mbezi kwa Msuguri jijini Dar es Salaam Jana.
| Mmoja wa Walimu katika Chuo cha DACICO TANZANIA. |
Katika mchezo huo ambao mashabiki wa timu ya Dacico F.c
walionekana kutoa shutuma nyingi kwa Mwamuzi kutokana na kitendo chake cha
kutowasikiliza mashabiki wakati mchezo ukiendelea kwa kile walichodai kuwa
alikuwa akionyesha upendeleo kwa wapinzani wao timu ya Mlimani F.c.
Akizungumzia mchezo huo kocha wa timu ya Dacico fc Moris Chambua
alisema kuwa “Kiwango cha Mpira kilichoonyeshwa na Kikosi cha wachezaji wangu ndiyo
silaha iliyowafanya wakaibuka na ushindi huo”alisema kocha huyo.
Na Kwa upande wa kocha
wa timu ya Mlimani Professional yeye alisema kuwa” timu yake ilicheza vizuri
lakini walizidiwa mbinu chache za kiufundi hali iliyopelekea timu yake kupoteza
mchezo huo”alisema Fredrick Emanuel.
Wakati mashabiki wa timu hizo walisema kuwa “timu ya dacico ilikuwa na uwezo wa kushinda
zaidi ya goli moja walilolipata lakini washambuliaji wa timu hiyo hawakuwa
makini kwenye suala zima la umaliziaji” alisema Fack A. Fack shabiki wa Dacico
F.c, na kwa upande wa shabiki wa mlimani
professional Mohamed hawadh yeye alisema
kuwa “uwanja umechangia wao kutofanya vizui kutokana na uwanja huo kujaa tope”
alisema mohamed
Mchezo huo ambao ulianza saa kumi na dakika arobaini jioni
kutokana na hali ya hewa ambayo kwa wakati mwingi Mvua za hapa na pale(
Rasharasha) zilisababisha kucheleweshwa kwa Mtanange huo ambao hata hivyo
pamoja na Mvua Mashabiki waliendelea na shamrashamra zao hadi mwisho wa mchezo.
Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika katika mpambano huo,
timu zote zilikwenda mapumziko mapumziko zikiwa zimetoshana nguvu kwa
kutofungana kutokana na wachezaji wa pande zote mbili kucheza kwa kukamiana
wakati wote pamoja na washambuliaji wa pande zote kutokuwa makini wakati wa
umaliziaji.
Kipindi cha pili timu zote zilifanya mabadiliko ambapo kwa
upande wa timu ya Dacico, kocha wa timu hiyo Moris Chambua aliwatoa Mohamed
Abdalah na nafasi yake ikachukuliwa na mchezaji Razack Mushi, alitoka Alafa
Julius(a.k.a Mbaba) na nafasi yake kuchukuliwa na Jafet Mantari, alitoka Moody
Mohamed na nafasi yake kuchuliwa na Sixmond wakati Mlimani wao waliwaingiza
Mrisho Mrisho na Baraka S. Baraka mabadiliko ambayo yalionekana kuipa nguvu
timu hiyo.
Baada ya Makocha wa timu zote mbili kufanya mabadiliko hali
ya mchezo ilibadilikia pia kutokana na kuingia wachezaji wenye nguvu ambapo
kwenye dakika ya 58, 66, 70 mwamuzi wa mpambano huo, Shaaban Mpalule ambaye ni Mwalimu katika chuo cha Dar es
Salaam City College, alipuliza filimbi mara kwa mara wakati wachezaji wa Timu
ya DACICO walipokuwa wakielekea kufunga kuwa Wameotea.
Kipindi cha pili katika dakika 64 hadi 72 timu ya Mlimani
Profesional ilionekana kuelemewa zaidi na Wenzao wa DACICO F.c kabla ya dakika
73 hadi 81 ambapo Mlimani baada ya kufanya mabadiliko, ilionekana kupata nguvu
na kuanza kulishambulia lango la timu ya Dacico lakini bahati haikuwa upande
wao kutokana na Dacico kupata Penalti katika dakika ya 82 ya mchezo na iliweza kuwekwa
kimiani na kiungo mchezeshaji Jafeti George, ambaye alifunga kwa Shuti kali lililokwenda
moja kwa moja kimiani na kumshinda mlinda mlango wa Mliman Briy B. Briy.
Baada ya mchezo kumalizika mwandaaji
wa mpambano Alexander Ngerezi
alisema kuwa maandalizi ya mchezo yalikwenda vizuri isipokuwa kulikuwa
na mapungufu madogo madogo ambayo yalihitaji msaada wa wadhamini ikiwamo
masuala ya mipira, jezi, Filimbi, pamoja na Viatu kwa Wachezaji ambao muda
mwingi wanatumia kuwa masomoni hivyo kukosa muda wa kufuatilia vifaa vya
michezo, katika mpambano wa kwanza pia timu ya Dacico iliibuka na ushindi wa
bao 1-0
katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Chuo cha Uandishi wa Habari
na Utawala cha Dar es Salaam City College(DACICO TANZANIA) uliopo Kibamba Chama
jijini Dar es Salaam.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
