Moja ya Majengo ya Chuo cha Dar es Salaam City College, likionekana katika Picha kutoka Tawi la Mbeya(Dar es Salaam City College -Mbeya)
Afisa Uhamasiashaji Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Kanda ya Mashariki ,Desteria Nanyanga(kulia) akimfanyia Upimaji Mwanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College Tawi la Dar es Salaam , Devotha Butondo, wakati wa Uchangia Damu Salama kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, iliyofanyika Katika Moja ya Majengo ya Chuo hicho, jijini Dar es Salaam.
Afisa Uhamasiashaji Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Kanda ya Mashariki ,Desteria Nanyanga(kulia) na Fatma Mlingi
Afisa Uhamasiashaji Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Kanda ya Mashariki ,Desteria Nanyanga(kulia) na Frank Ulede,
Mtaalamu wa Kusaidia Utoaji Damu Mpango wa Taifa Damu Salama, Kanda ya Mashariki Peter Chame, akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College, wakati wa Semina Shuleni hapo.
Mmmoja wa Maafisa wa Mpango wa Taifa wa Uchangiaji Damu Salama, akiwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College wakati wa Kuchangia Damu Salama.
Mtunza Kumbukumbu Mpango wa Taifa Damu Salama, Salutary Mangosongo, akiandika moja ya Nyaraka wakati wa Uandikishaji wa Upimaji Wanafunzi, kutoka Chuo cha Dar es Salaam City College, kuhusu Uchangiaji Damu Salama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni