(DACICO)
CHUO KINA USAJILI WA
KUDUMU WA NACTE No. PWF/025
CHUO BORA CHA UANDISHI WA HABARI NA
UTAWALA CHENYE USAJILI WA KUDUMU KUTOKA NACTE – KWA USAJILI No. PWF/25
KINATANGAZA MUHULA MPYA WA MASOMO KWA NGAZI YA CERTIFICATE
MWAKA MMOJA NA DIPLOMA MIAKA MIWILI KWA MUHULA MPYA
WA MASOMO UTAKAOANZA TAR. 20/04/2013 KWA KOZI ZIFUATAZO:
Ø JOURNALISM
AND MASS COMMUNICATION
Ø HUMAN
RESOURCE MANAGEMENT
Ø COMMUNITY
DEVELOPMENT
Ø PROCUREMENT
& SUPPLY MANAGEMENT
Ø RADIO
& TV BROADCASTING
Ø UANDAAJI
NA UTAYARISHAJI WA FILAMU
Ø PUBLIC
RELATIONS
Ø RECORD
MANAGEMENT
Ø BUSINESS
ADMINISTRATION
SIFA ZA CHUO:
Ø KINA
USAJILI WA KUDUMU WA NACTE
Ø CHUO
KINA MANDHARI NZURI
Ø CHUO
KINA WALIMU WALIOBOBEA KTK UFUNDISHAJI
Ø CHUO
KINA UZOEFU ZAIDI YA MIAKA 10 KATIKA UFUNDISHAJI NA UMALIZAPO MASOMO WAWEZA
KUJIUNGA NA VYUO VIKUU VYA NDANI NA NJE YA TANZANIA KWANI
Ø CHUO
KIPO KATIKA MIKAKATI YA KUTOA DEGREE MNAMO MWAKA 2014
Ø HOSTEL
ZENYE HUDUMA ZOTE ZINAPATIKANA KWA WAVULANA NA WASICHANA
FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA:
CHUONI KIMARA, GML SECRETARIAL KIMARA, MANISPAA
YA BUKOBA, CDTI – IRINGA, CDTI – MBEYA
KWA MAWASILIANO ZAIDI NA CHUO PIGA SIMU
NA:
0713 – 571676, 0715 – 982982, 0765 – 179965, 0715 – 782394, 0754 – 506251
NYOTE MNAKARIBISHWA
VEDASTO MALIMA-MKURUGENZI WA
MAFUNZO
KILANGI MUSIBA-AFISA HABARI
ADOLF KISIMA-MWALIMU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni