Alhamisi, 16 Mei 2013

SHEREHE YA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA WA CHUO CHA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE

Mwanamuziki wa Kizazi Kipya Tunda Man, akiburudisha katika Sherehe ya Wanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College(Bash Party) iliyofanyika Katika Ukumbi wa Chuo hicho.
Wanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College, Shaaban Ramadhan, Mstafa Sarehe, Jerry Emmanuel, Frank Frank, Tina, Emmanuel Moses, na Wengine wengi wakicheza Kwaito, katika Sherehe ya Kuwakaribisha wanafunzi wapya(Bash Party) iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho. 
Rais wa Miss Tourism Tanzania, Gideon Chipungahelo(kati), akiwatangaza washindi wa Miss DACICO ,Marry(kushoto) na Zabibu Urasa, wakati wa Bash Party, iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho.
Wanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College,Maybin Laston,(kulia) wanaosomea(Uhandishi wa Habari),wakati wa Shindano la Kutafuta Mtangazaji Bora wa Bash Party, (kushoto ni) Jerry Emmanuel, iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho.
Mwanafunzi katika Chuo cha Dar es Salaam City College,Fatuma Hamad, mwanafunzi anayesomea(HR),katika pozi wakati wa Bash Party, iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho.
wanafunzi katika Chuo cha Dar es Salaam City College,Marry & Zabibu Urasa, wakati wa Bash Party, iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho.
Mwanafunzi katika Chuo cha Dar es Salaam City College,Janeth Mushi, mwanafunzi wa Masomo ya Biashara,katika pozi wakati wa Bash Party, iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo hicho.(Picha Zote kwa Hissani y. Kilangi Musiba).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni