CHUO KINAFUNDISHA KOZI MBALIMBALI ZA TAALUMA YA UHANDISHI WA HABARI. WOTE MNAKARIBISHWA SANA KUJIUNGA.SUMBAWANGA, MBEYA NA DAR ES SALAAM,
Jumamosi, 2 Novemba 2013
Ijumaa, 4 Oktoba 2013
DACICO FM -RADIO- KUZINDULIWA NA WANAFUNZI MATAWI YA MBEYA, SUMBAWANGA NA DAR ES SALAAM.
Mkurugenzi Mkuu wa DACICO TANZANIA- Idrisa
Mziray, akiwa kwenye Studio ya Matangazo ya Radio ya Chuo ambayo
inatarajia kuanza kusikika kwenye maeneo ya jijini Dar es Salaam.
| Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha DACICO, Wakiwa katika STUDIO ZA DACICO FM.Kulia ni Rais wa Chuo cha DACICO, Kisiza Leonald |
| Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha DACICO, Wakiwa katika STUDIO ZA DACICO FM |
| Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha DACICO, Wakiwa katika STUDIO ZA DACICO FM |
DACICO FM RADIO- TANZANIA- Kuvuma sasa Hewani, Mkurugenzi Mkuu wa DACICO TANZANIA- Idrisa Mziray, asema kuanza kurusha Matangazo katika jiji la Dar es Salaam na Pwani.
| Mkurugenzi Mkuu wa DACICO TANZANIA- Idrisa Mziray, akiwa kwenye moja ya Ofisi zake jijini Dar es Salaam. |
DACICO TANZANIA- YAWAPA WANAFUNZI AKAUNTI CRDB BANK.
| Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA- Wakifuatilia kwa Makini Semina ya Kufungua Akaunti ya CRDB Bank, iliyotolewa makao Makuu ya Chuo Kibamba CCM. Jiijini DAR ES SALAAM. |
| Mmoja wa Wanafunzi wa DACICO TANZANIA- akiuliza moja ya Maswali kuhusiana na Benki ya CRDB. |
| Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Emmanuel Simbengale, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa mwanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA, |
| Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Mussa Mvungi, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa Wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA, |
| Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Sara Luje, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA, |
| Akaunti Meneja wa Benki ya CRDB, Sara Luje, akisaidia kujaza fomu za akaunti za Benki hiyo kwa wanafunzi wa Chuo cha DACICO TANZANIA, |
Ijumaa, 27 Septemba 2013
WANAFUNZI DACICO WAKABIDHI KATIBA KWA MKURUGENZI MKUU WA CHUO.
RAIS WA CHUO CHA DACICO LEONARD KISIZA (KUSHOTO) AKIIKABIDHI RASMI KATIBA YA CHUO KWA MKURUGENZI MKUU WA DACICO IDRISA MZIRAY MUDA MFUPI BAADA YA UZINDUZI.
(PICHA ZOTE KWA HISSANI YA MISS DEMOKRASIA TANZANIA & ENTERTAINMENT C.o LTD).
BAADA YA UZINDUZI WA KATIBA DACICO , WANAFUNZI WAPAGAWA NA KATIBA HIYO
| BAADHI YA WANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA KWA MAKINI HAFLA YA UZINDUZI WA KATIIKA YA DAR ES SALAM CITY COLLEGE |
| BAADHI YA VIONGOZI WA CHUO NA WALIMU WA CHUO HICHO WAKIBARIKI KATIBA HIYO KWA WIMBO WA TAIFA. |
| BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO WAKIFUATILIA UZINDUZI |
| WANAFUNZI WAKIIMBA WIMBO WA TAIFA KUZINDUA RASMI KATIBA YAO |
| WANAFUNZI WAKIIMBA WIMBO WA TAIFA KUZINDUA RASMI KATIBA YAO |
| WANAFUNZI WAKIIMBA WIMBO WA TAIFA KUZINDUA RASMI KATIBA YAO (Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania & Entertainment C.o LTD). |
DACICO TANZANIA YAPATA KATIBA YAKE, WANAFUNZI WASHIRIKI KUFANYA UZINDUZI DAR ES SALAAM.
| MKURUGENZI MKUU WA DACICO TANZANIA, IDRISA MZIRAY(kulia), AKIPOKEA NAKALA YA KATIBA HIYO KUTOKA KWA RAIS WA CHUO CHA DACICO,KISIZA LEONALD. |
| Rais wa Chuo cha DACICO,Kisiza Leornald na Makamu Mkurugenzi wa Chuo, Vedasto Malima, wakionyesha KATIBA hiyo kwa Wanafunzi |
| MKURUGENZI MKUU WA DACICO, (kati)WALIMU NA WANAFUNZI WA DACICO KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA MKURUGENZI KUIZINDUA RASMI . |
| Mwalimu Henry Gaudence(Mkufunzi) katika Chuo cha DACICO, akitoa ufafanuzi kuhusiana na KATIBA hiyo. |
| Mwalimu ,Greyson Mgoyi(Mkurugenzi wa Utawala na Mipango)akifafanua jambo wakati wa Uzinduzi huo |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)

