Jumatano, 19 Machi 2014

MABONMBA YA GESI DAR YAFUKIWA CHINI YA WACHINA.

 MOJA YA MASHINE ZINAZO TUMIKA KATIKA UCHIMBAJI WA MITARO HIYO
 CATAPILAR KWA AJILI YA UCHIMBAJI WA MITARO YAKUPITISHA MABOMBA YA GESI
 MOJA YA NITARO HIYO ILIYOCHIMBWA KABLA HAIJAWEKWA MABOMBA

 BOMBA LIKIWA TAYARI  LIMEWEKWA MTARONI



KAZI YA UFUKIAJI WA MITARO YENYE MABOMBO YAKUPITISHIA GESI 
 UFUKIAJI UKIENDELEA
 MKANDARASI AKITOA MAELEKEZO YA JINSI YA KUWEKA NAILON WAKATI WA KUFUKIA MABOMBO HAYO


 KATIKA UTENDAJI WA KAZI WAKIPEANA MAELEKEZO
UWEKAJI WA NAILON ITAKAYO ONYESHA KUWA BAADA YA NAILON HIYO KINACHOFUATA NI BOMBA



Na: Dinah Chuwa

MRADI WA UJENZI WA MABOMBA YA GESI AMBAO UMEKWISHA KUANZA  KATIKA MAENEO TEGWA KATIKA JIJI LA DAR SALAAM ,KUTOKEA MKOANI MTWARA KUELEKEA  BAGAMOYO AMBAPO NDIPO GESI HIYO INAPO TAKIWA KUFIKIA. MAENEO AMBAYO BOMBA HILO LIMEPITIA NIPAMOJA NA KIMARA MAVURUNZA,GOLANI,  KAZI HIYO UMEFIKIA HATUA NZURI  BAADA YA KAMPUNI YA KICHINA  ILIYO KABIDHIWA KANDARASI HIYO KUANZA KUFUKIA MITARO MIREFU AMBAPO NDIPO MABOMBA HAYO YALIPO WEKWA. UCHIMBAJI NA ULETWAJI WA MABOMBA MPAKA UUNGANISHAJI  WAKE UMECHUKUA ZAIDI YA MWEZI MOJA .AMBAPO ILIKUWA HATARI PIA KWA WAKAZI WA MAENEO HAYO KWA KUACHWA WAZI KWA MUDA MREFU BILA KUFUNIKWA.HATIMAYE SIKU YA JUMANNE WALIANZA KAZI HIYO YAKUFUKIA MITARO HIYO NA KULETA AHUENI KWA WAKAZI WA MAENEO HAYO.

Jumatatu, 17 Machi 2014

BALE KUTUMIA `NJUMU` MPYA LEO KUWAKABILI SCHALKE 04, ADAI MABEKI WATAMKOMA BERNABEU!!

Na:Zuhura Masoud,DACICO FM.COM,Dar es salaam.
 
MCHEZAJI ghali zaidi duniani, Gareth Bale kesho katika mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya Schalke 04 dimba la Santiago Bernabeu atavaa viatu vipya `njumu` kutoka kampuni ya Adidas.
 
Viatu hivyo vya  `adidas F50 crazylight`,  vina uzito wa gramu 135  na vimebuniwa kwa ufundi mkubwa.
 
Gareth Bale alionekana leo hii akijaribu viatu hivyo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakati wa mazoezi ya  Real Madrid  na atakuwa wa kwanza pekee kuvaa viatu hivyo.
New wheels: Gareth Bale is looking forward to wearing his new adidas crazylight boots
Viatu vipya: Gareth Bale  atavaa viatu vyake vipya kutoka kampuni ya adidas
Bonkers: The garish green and black arrow design is certain to send defenders crazy
 Jinsi viatu hivyo vilivyobuniwa, lazima mabeki wachanganyikiwe 

MOYES AENDELEA KULA ZA USO, KOCHA EVERTON APONDA TABIA YAKE YA KUTOPENDA SOKA LA VIJANA!!

Na:Zuhura Masoud, WWW.DACICO FM RADIO.COM
KOCHA wa timu ya vijana ya Everton chini ya miaka 18, Kevin Sheedy ameandika ujumbe mzito katika akaunti yake ya Twite akimkosoa kocha wa Manchester United, David Moyes kuwa  katika maisha yake akiwa Merseyside alikuwa hapendelei kuwatumia vijana wake.
Sheedy  alifanya kazi kwa zaidi ya miaka saba akiwa kocha wa Akademi ya klabu hiyo wakati Moyes akiwa kocha mkuu wa timu ya wakubwa kabla ya kutimkia Man United kurithi mikoba ya Alex Ferguson.
Moyes na Man United yake jana waliangukia pua baada ya kulala kwa kipigo kizito cha mabao 3-0 kutoka kwa majogoo wa jiji, Liverpool, katika dimba lao la Old Trafford
Frustrated figure: Everton Under 18s manager Kevin Sheedy has criticised David Moyes' dealings with the youth team during his time at the club
Kocha wa vijana chini ya miaka 18 wa  Everton  Kevin Sheedy amemkosoa David Moyes kwa kutokuwa na tabia ya kuwatumia vijana
 wakati akifanya naye kazi Everton
Dejected: Moyes looks glum during his side's 3-0 home defeat by rivals Liverpool on Sunday
Kakata tamaa: Moyes akionekana kukata tamaa baada ya kipigo cha mabao 3-0 jana dhidi ya Liverpool
Back at work: Moyes arrives at United's Carrington training complex on Monday morning
 Akirudi kazini: Moyes  akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa Man United,  Carrington jana
Game over: Liverpool striker Luis Suarez celebrates scoring his side's third goal as United prepare to kick-off
 Mechi imekwisha: Mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez akifurahia bao la tatu hapo jana huku mpira ukielekea kumalizika

kumekucha kesho uwanja wa taifa- YANGA kuwavaa azam f.c, mashabiki wakesha kusubiri mtanange huo.

Na Zuhura Masoud, DACICO F. M -RADIO , Dar es salaam
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara,Young Africans, ya jijini Dar es Salaam, kesho inashuka dimba la Uwanja wa Taifa kuwakabili Azam F.c, wana Lamba-lamba, katka mchezo unaotazamiwa kuwa mkali na wa kusisimua kutokana na timu zote mbili kuwa kwenye nafasi ya kuwania Ubinwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Wana Lamba-lamba Azam fc waliopo kileleni, mpaka sasa tayari imekusanya pointi 43 na ikiwa inaendelea kushika usukani wa ligi hiyo, wanaendelea na mipango mbalimbali kuhakikisha wanapata ushindi mbele ya Yanga inayotajwa kuwa na kikosi bora zaidi msimu huu.
wakizungumzia mchezo huo mashabiki watani wa jadi-jijini Dar s Salaam, wamesema kuwa ni Yanga msimu huu imesheheni majina ya wachezaji wenye majina makubwa na zaidi yakiwa na mvuto nje na ndaniya uwanja, japokuwa ndani ya uwanja bado kuna matatizo yanayopaswa kutatuliwa kwa haraka.
aidha wadau wa soka Dacico pia wameongeza kuwa, Ukitaja majina kama kina, Emmanuel Anord Okwi, Hamis Friday Kiiza `Diego`, Didier Kavumbagu `Kavu`, Mrisho Khalfan Ngasa `Anko`, Simon Msuva , Said Bahanuzi, Jeryson John Tegete ambao huongoza safu ya ushambuliaji, inachangia kuwatia hofu wachezaji wa timu wa timu pinzani.
33Pia wanadacico hao wamesema kuwa wachezaji wa dimba la kati, katika timu ya yanga ni wakali wakiwapo, Haruna Niyonzima `Fabregas`, Frank Domayo `Chumvi`, Athuman Idd `Chuji` , Hassan Dilunga na wengineo ambao hawana namba za kudumu katika kikosi cha kwanza.
wakati kwenye safu ya ulinzi wamedai kuwa, imesukwa kwa mabeki visiki wakiwemo Kelvin Patrick Yondan, Nadir Haroub `Canavaro`, Mbuyu Twite, Oscar Samwel Joshua, David Luhende na wengineo.
Hata hivyo, Ukiangalia tofauti ya majina baina ya Yanga na Azam fc, Wanajangwani inaonyesha kwenye rekodi kuwa ni chama kubwa zaidi kwa maana ya kuwa na mtaji mkubwa wa wanachama, mashabiki na hata ukongwe wa ligi kuu soka Tanzania bara.
1236000_631243993582627_1970842772_nna kwamba mpaka sasa timu ya yanga imejihakikishia utajiri mkuu katika mipango ya uwekezaji katika anga za kimichezo , ukilinganisha na Azam fc ambao wameingia kwenye ushindani miaka ya ivi karibuni.
habari za kuhaminika zinasemakwamba , Wakati mashabiki wakisubiri mechi hiyo kwa hamu kubwa, tayari kikosi cha Yanga kimeingia chimbo(mafichoni) Fukwe za Bagamoyo,Pwani kujiwinda na mechi hiyo ya kesho.

Jumamosi, 15 Machi 2014

MCHEZO WA TASWA F.C Vs DACICO F.M. GUMZO KIBAMBA, JIJINI DAR

 Kikosi cha Wachezaji wa TASWA Qween
 Mwenyekiti wa Taswa Majuto Omary, akifafanua jambo mara baada ya kuwasili makao makuu ya chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College(DACICO), Kibamba CCM Jijini  Dar es Salaam.
 Wachezaji wa TASWA, Ally Mkongwe na Mbozi, wakifuatilia kwa makini mazungumzo na Utambulisho wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala DACICO, wakati wa Ziara ya Taswa Makao makuu ya DACICO, Jijini Dar es Salaam.
 Wanafunzi wa DACICO, Mbeya pamoja na wanafunzi wa DACIO Dar, wakifuatilia kwa makini 
 Mwenyekiti wa Taswa Majuto Omary, akifafanua jambo mara baada ya kuwasili makao makuu ya chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College(DACICO), Kibamba CCM Jijini  Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa DACICO, Idrisa Mziray, akifafanua jambo wakati wa Hafla hiyo jana,
 Baadhi ya Wachezaji wa Taswa wakiwa kwenye kikao na wachezaji wa Dacico F.c.com
 Kikosi cha Timu ya DACICO Qween,  
 Wachezaji wa DACICO wakisali kabla ya pambano kuanza.
 Kikosi cha DACICO
 Wachezaji wa TASWA F.C na DACICO F.M.COM, Wakiwa kwenye picha ya Pamoja muda mfupi kabla ya pambano kuanza.
 Mkurugenzi wa DACICO .Idrisa Mziray, akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Taswa F.c
 Wachezaji wa timu ya za Netball  TASWA F.C vs DACICO F.M.COM wakiwa kwenye Picha ya pamoja muda mfupi kabla ya pambano lao kwenye dimba la Kibwegele
Wachezaji wa timu ya Netball ya TASWA F.C wakiwa kwenye Picha ya pamoja muda mfupi kabla ya pambano lao na DACICO F.M.COM

Alhamisi, 13 Machi 2014

DACICO QWEEN, DACICO F.C. & TASWA F.C. PACHIMBIKA



 Baadhi ya wanafunzi w Dacico
 Baadhi ya wanafunzi w Dacico
 Kikosi cha Timu ya DACICO FC.
 Baadhi ya wanafunzi w Dacico
 Baadhi ya wanafunzi w Dacico
 Wachezaji wa Timu ya Taswa F.c.
 Baadhi ya wanafunzi w Dacico
 Vikosi vya Timu za Taswa na Dacico.
 Wakati wa Mapumziko

 Timu za Taswa Fc na Dacico fc, jana zimecheza mchezo wa kirafikikatika uwanjawa kibwegele nje kidogo ya mji wa Dar es  Salaam,ambapo katika mchezo huo timu ya Taswa iliifunga timu ya Dacico kwa 2-1.