Jumatatu, 17 Machi 2014

BALE KUTUMIA `NJUMU` MPYA LEO KUWAKABILI SCHALKE 04, ADAI MABEKI WATAMKOMA BERNABEU!!

Na:Zuhura Masoud,DACICO FM.COM,Dar es salaam.
 
MCHEZAJI ghali zaidi duniani, Gareth Bale kesho katika mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya Schalke 04 dimba la Santiago Bernabeu atavaa viatu vipya `njumu` kutoka kampuni ya Adidas.
 
Viatu hivyo vya  `adidas F50 crazylight`,  vina uzito wa gramu 135  na vimebuniwa kwa ufundi mkubwa.
 
Gareth Bale alionekana leo hii akijaribu viatu hivyo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakati wa mazoezi ya  Real Madrid  na atakuwa wa kwanza pekee kuvaa viatu hivyo.
New wheels: Gareth Bale is looking forward to wearing his new adidas crazylight boots
Viatu vipya: Gareth Bale  atavaa viatu vyake vipya kutoka kampuni ya adidas
Bonkers: The garish green and black arrow design is certain to send defenders crazy
 Jinsi viatu hivyo vilivyobuniwa, lazima mabeki wachanganyikiwe 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni