Jumamosi, 15 Machi 2014

MCHEZO WA TASWA F.C Vs DACICO F.M. GUMZO KIBAMBA, JIJINI DAR

 Kikosi cha Wachezaji wa TASWA Qween
 Mwenyekiti wa Taswa Majuto Omary, akifafanua jambo mara baada ya kuwasili makao makuu ya chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College(DACICO), Kibamba CCM Jijini  Dar es Salaam.
 Wachezaji wa TASWA, Ally Mkongwe na Mbozi, wakifuatilia kwa makini mazungumzo na Utambulisho wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala DACICO, wakati wa Ziara ya Taswa Makao makuu ya DACICO, Jijini Dar es Salaam.
 Wanafunzi wa DACICO, Mbeya pamoja na wanafunzi wa DACIO Dar, wakifuatilia kwa makini 
 Mwenyekiti wa Taswa Majuto Omary, akifafanua jambo mara baada ya kuwasili makao makuu ya chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College(DACICO), Kibamba CCM Jijini  Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa DACICO, Idrisa Mziray, akifafanua jambo wakati wa Hafla hiyo jana,
 Baadhi ya Wachezaji wa Taswa wakiwa kwenye kikao na wachezaji wa Dacico F.c.com
 Kikosi cha Timu ya DACICO Qween,  
 Wachezaji wa DACICO wakisali kabla ya pambano kuanza.
 Kikosi cha DACICO
 Wachezaji wa TASWA F.C na DACICO F.M.COM, Wakiwa kwenye picha ya Pamoja muda mfupi kabla ya pambano kuanza.
 Mkurugenzi wa DACICO .Idrisa Mziray, akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Taswa F.c
 Wachezaji wa timu ya za Netball  TASWA F.C vs DACICO F.M.COM wakiwa kwenye Picha ya pamoja muda mfupi kabla ya pambano lao kwenye dimba la Kibwegele
Wachezaji wa timu ya Netball ya TASWA F.C wakiwa kwenye Picha ya pamoja muda mfupi kabla ya pambano lao na DACICO F.M.COM

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni