Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya kuifunga Arsenal bao la tano leo kwenye Uwanja wa Stamford Bridge jijini London |
Mchezaji wa Arsenal Kieran Gibbs (kushoto) akipewa kadi nyekundu kipindi cha kwanza. |
Na: Zuhura Masoud, DACICO.
==============================
Arsenal ambayo iliingia uwanjani katika mechi ya 1,000 tangu kocha wa timu hiyo, Arsene Wenger alipoanza kuinoa timu hiyo, imekutana na kipigo hicho lakini kukatokea tukio la kushangaza la kadi nyekundu.
Mabao ya Chelsea kwenye mchezo huo yamepatikana kupitia kwa Samuel Eto'o dakika ya 5, Andre Schürrle (7), Eden Hazard (17), Oscar (42 na 66) na Mohamed Salah (71).
Tukio la kushangaza ni kuwa mwamuzi alimpa kadi nyekundu Gibbs wa Arsenal wakati aliyetenda kosa la kuunawa mpira kwa makusudi ni Oxlade-Chamberlain katika dakika ya 15.
Chelsea Line-up: 1Petr Cech, 2Branislav Ivanovic, 24Gary Cahill, 26John Terry, 28César Azpilicueta, 4David Luiz, 11Oscar,14Andre Schürrle, 17Eden Hazard, 21Nemanja Matic,29Samuel Eto'o
Substitutes: 23Mark Schwarzer, 33Tomas Kalas, 8Frank Lampard, 12John Mikel Obi, 15Mohamed Salah, 9Fernando Torres, 19 Demba Ba
Arsenal Line- up: 1Wojciech Szczesny, 3Bacary Sagna, 4Per Mertesacker, 6Laurent Koscielny, 28 Kieran Gibbs, 7Tomas Rosicky, 8 Mikel Arteta, 9 Lukas Podolski, 5 Thomas Vermaelen, 15 Alex Oxlade-Chamberlain, 19 Santi Cazorla, 12 Olivier Giroud
Substitutes: 21Lukasz Fabianski, 5Thomas Vermaelen, 25Carl Jenkinson, 20Mathieu Flamini, 29Kim Kallstrom, 22Yaya Sanogo,44Serge Gnabry
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni