MOJA YA MASHINE ZINAZO TUMIKA KATIKA UCHIMBAJI WA MITARO HIYO
CATAPILAR KWA AJILI YA UCHIMBAJI WA MITARO YAKUPITISHA MABOMBA YA GESI
MOJA YA NITARO HIYO ILIYOCHIMBWA KABLA HAIJAWEKWA MABOMBA
BOMBA LIKIWA TAYARI LIMEWEKWA MTARONI
KAZI YA UFUKIAJI WA MITARO YENYE MABOMBO YAKUPITISHIA GESI
UFUKIAJI UKIENDELEA
MKANDARASI AKITOA MAELEKEZO YA JINSI YA KUWEKA NAILON WAKATI WA KUFUKIA MABOMBO HAYO
KATIKA UTENDAJI WA KAZI WAKIPEANA MAELEKEZO
UWEKAJI WA NAILON ITAKAYO ONYESHA KUWA BAADA YA NAILON HIYO KINACHOFUATA NI BOMBA
Na: Dinah Chuwa
MRADI WA UJENZI WA MABOMBA YA GESI AMBAO UMEKWISHA KUANZA KATIKA MAENEO TEGWA KATIKA JIJI LA DAR SALAAM ,KUTOKEA MKOANI MTWARA KUELEKEA BAGAMOYO AMBAPO NDIPO GESI HIYO INAPO TAKIWA KUFIKIA. MAENEO AMBAYO BOMBA HILO LIMEPITIA NIPAMOJA NA KIMARA MAVURUNZA,GOLANI, KAZI HIYO UMEFIKIA HATUA NZURI BAADA YA KAMPUNI YA KICHINA ILIYO KABIDHIWA KANDARASI HIYO KUANZA KUFUKIA MITARO MIREFU AMBAPO NDIPO MABOMBA HAYO YALIPO WEKWA. UCHIMBAJI NA ULETWAJI WA MABOMBA MPAKA UUNGANISHAJI WAKE UMECHUKUA ZAIDI YA MWEZI MOJA .AMBAPO ILIKUWA HATARI PIA KWA WAKAZI WA MAENEO HAYO KWA KUACHWA WAZI KWA MUDA MREFU BILA KUFUNIKWA.HATIMAYE SIKU YA JUMANNE WALIANZA KAZI HIYO YAKUFUKIA MITARO HIYO NA KULETA AHUENI KWA WAKAZI WA MAENEO HAYO.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni