Mmoja wa wahitimu, salome Kasembe
Mpiga Picha akijiweka tayari
Maadam Rehema Komba, Mwalimu wa Chuo cha Uhandishi wa Habari na
Utawala, Dar es Salaam City College, akimalizia Harakati za Kupamba
Ukumbi wa Mahafali ya 12 ya Chuo hicho katika Ukumbi wa Temboni Uliopo
Kibamba CCM, Dar es Salaam leo. kwa habari zaidi na Picha Tembelea.
Wahitimu wakijiandaa kwa ajili ya sherehe yao
MSHEREHESHAJI, HUYU NDIYE M.C WA MAHAFALI YA 12 YA DACICO 2013-DAR ES SALAAM TANZANIA. tukio la mahafali linaendelea....
(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni