Jumapili, 28 Julai 2013

WAHITIMU WA CHUO CHA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE, WAKIJIWEKA TAYARI KWA AJILI YA KWENDA KUPOKEA VYETI,

Wahitimu wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari na Utawala katika Chuo cha Dar es Salaam City College(DACICO) wakionekana wenye Furaha muda Mwingi wakijaribu kuzungumza na Ndugu,Jamaa na Marafiki, wakati wa Maandalizi ya Mwisho ya Sherehe ya Mahafali ya 12 katika Ukumbi wa Temboni, Uliopo Kibamba CCM, (Hafla hiyo ilianza saa 6 mchana na kuendelea).
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni