Jumapili, 28 Julai 2013

MAHAFALI YA 12 YA DACICO 2013 Sehemu ya 3. YALIYOJILI

 Mmoja wa wahitimu akisubiri shuguli kuanza
 Mmoja wa wahitimu akifurahia jambo
 Baadhi ya wahitimu wakielekea kunako Sherehe za mahafali yao
 Mmoja wa wahitimu akijiweka sawa kwa ajili ya kuingia Ukumbini
 Baadhi ya Wahitimu wakichungulia Baadhi ya Photo kutoka kwa Mpiga Picha wa Studio binafsi
 Mwalimu Kilangi Musiba(kulia), akiwa na Mmoja wa wahitimu na Baadhi ya wanafunzi wa Chuo, wakati wa maandalizi ya Mahafali ya 12 ya Chuo cha DACICO -TANZANIA.
 Baadhi ya Wahitimu wakichungulia Baadhi ya Photo kutoka kwa Mpiga Picha wa Studio binafsi
 Baadhi ya wanafunzi wa DACICO, wakijaribu kuperuzi baadhi ya mambo kutoka kwa mtaalam wa masuala ya Kamera, ambaye alifika kuchukua tukio kwa ajili ya habari,
Wahitimu wa DACICO katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Dar es Salaam City College, wakionekana kupumzika huku wakiwa n wenye nyuso za Furaha, muda mfupi kabla ya kuanza shuguli ya Sherehe hiyo.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni