Picha Zot ni tukio la MAHAFALI ya 12 ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College DACICO TANZANIA 2013, Hafla ambayo ilihudhuliwa na Viongozi Mbalimbali wa Serikali za Wanafunzi wa Vyuo vya Habari, Wazazi wa wahitimu, Viongozi wa Serikali pamoja na Wanahabari kutoka Vyombo mbalimbali hapa nchini Tanzania, bila kuwasahau wale Bloggers Media Group. Issa Michuzi na Shaaban Mpalule pamoja na Wengine Wengi.
(Picha Zote kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni