Jumatatu, 22 Julai 2013

MAHAFALI, MAHAFALI ,MAHAFALI----TANGAZO -27/7/2013

Chuo cha Uhandishi wa Habari na Utawala, Dar es Salaam City College, kinafanya Sherehe za Mahafali ya 12 ya wahitimu wa Intake November 2012, Intake September 2012, Intake Julai 2012, Intake Aprili 2012,
 Intake Saptember 2013, Intake June 2013, Intake Aprili 2013, na Intake January 2013.
Mahafali hayo yanafanyika katika Ukumbi wa  Chuo Cha Dar es Salaam, Makao Makuu ya Chuo, Dar es Salaam  City College, Kibamba Jijini Dar es Salaam, tarehe 27 Mwezi huu wa Saba(27/7/2013) kuanzia majira ya saa Sita Mchana.
Wanafunzi wote wa Chuo na Wengine Mnataarifiwa(Mnakaribishwa) kuhudhulia kwenye Hafla hiyo kwa ajili ya kuwaunga(Kuungana) 
Pamoja katika kusherehekea siku hiyo nzuri na yenye Furaha kwa Wahitimu wote wa Kozi zilizopita ikiwa ni pamoja na Kuungana na Familia za Wapendwa Wazazi wa Wahitimu wote katika Sherehe za Mahafali haya ya 12 katika Chuo Hiki.
WOTE MNAKARIBISHWA SANA: kumbuka kufika kwako ndiyo mafanikio ya Hafla na Mahafali haya.
Tunatanguliza Shukrani Zetu za Dhati kwako.
kwani utafika Bila Kukosa.
Asante.

Mkurugenzi wa Chuo cha DACICO, Idrisa Mziray(kati) na Mheshimiwa Idd Azan(mb) wakiongoza Safari ya Wanafunzi wa Chuo cha Dar es Salaam City College.
IMETOLEWA NA:-
 VEDASTO FAUSTINE MALIMA

DIRECTOR OF STUDY AND PROGRAMS

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni